Ufafanuzi wa umilikishi katika Kiswahili

umilikishi

nominoPlural umilikishi

  • 1

    mali anayopewa mtu kuitunza na kuitumia kwa faida yake mwenyewe.

Matamshi

umilikishi

/umiliki∫i/