Ufafanuzi wa umwa katika Kiswahili

umwa

kitenzi sielekezi

  • 1

    pata maumivu au dhoofu mwili kutokana na maradhi.

    ugua

  • 2

    kung’atwa na mdudu.

Matamshi

umwa

/umwa/