Ufafanuzi wa unahodha katika Kiswahili

unahodha

nomino

  • 1

    kazi ya kuongoza chombo k.v. meli au jahazi.

Asili

Kar

Matamshi

unahodha

/unahoĆ°a/