Ufafanuzi msingi wa ungamo katika Kiswahili

: ungamo1ungamo2

ungamo1

nominoPlural mungamo, Plural ungamo

 • 1

  jambo linalokiriwa au linalokubaliwa kuwa ni kosa; tendo la kukiri.

  ikirari, kukiri

 • 2

  hali au namna ya kuungama.

Matamshi

ungamo

/ungamɔ/

Ufafanuzi msingi wa ungamo katika Kiswahili

: ungamo1ungamo2

ungamo2

nominoPlural mungamo, Plural ungamo

 • 1

  rangi ya manjano inayofanywa kutoka kwenye mmea uitwao muungamo.

Matamshi

ungamo

/ungamɔ/