Ufafanuzi wa uokoaji katika Kiswahili

uokoaji

nominoPlural uokoaji

  • 1

    hali ya kutoa mtu au kitu katika hatari.

Matamshi

uokoaji

/uwɔkɔwaʄi/