Ufafanuzi wa uongofu katika Kiswahili

uongofu, wongofu

nomino

  • 1

    hali ya kusalimika na upotovu na kuwa na tabia nyoofu.

    hidaya