Ufafanuzi wa upagani katika Kiswahili

upagani

nominoPlural upagani

  • 1

    hali ya kutoamini dini kuu zinazotambulika duniani k.v Uislamu na Ukristo.

Asili

Kng

Matamshi

upagani

/upagani/