Ufafanuzi wa upangaji katika Kiswahili

upangaji

nomino

  • 1

    namna ya kupanga vitu au mambo.

Matamshi

upangaji

/upangaŹ„i/