Ufafanuzi msingi wa upatanisho katika Kiswahili

: upatanisho1upatanisho2

upatanisho1 , upatanishi

nomino

 • 1

  hali ya kufanya watu waliogombana wapatane; hali ya kusuluhisha pande mbili au zaidi zilizo na ugomvi.

  suluhu, suluhisho

Ufafanuzi msingi wa upatanisho katika Kiswahili

: upatanisho1upatanisho2

upatanisho2 , upatanifu

nomino

  Matamshi

  upatanisho

  /upatani∫ɔ/