Ufafanuzi wa upatilizi katika Kiswahili

upatilizi

nominoPlural upatilizi

  • 1

    ulipaji wa kisasi.

  • 2

    adhabu au mateso anayopewa mtu aliye mkosaji, aliyetenda kinyume cha kanuni au sheria.

Matamshi

upatilizi

/upatilizi/