Ufafanuzi wa upekepeke katika Kiswahili

upekepeke

nomino

  • 1

    tabia ya kutafutatafuta mambo ya wengine.

    usalata

Matamshi

upekepeke

/upɛkɛpɛkɛ/