Ufafanuzi wa upepe katika Kiswahili

upepe

nominoPlural pepe

  • 1

    kijitando cheupe laini kinachozunguka mbegu ya harage baada ya kutoa ganda.

Matamshi

upepe

/upɛpɛ/