Ufafanuzi wa upongoo katika Kiswahili

upongoo

nomino

  • 1

    kijiti kilicho katikati ya kuti la mnazi.

  • 2

    fimbo yoyote ile, agh. ya mnazi, itumiwayo kwa kusukia makuti.

Matamshi

upongoo

/upɔngɔ:/