Ufafanuzi wa uposi katika Kiswahili

uposi

nominoPlural uposi

  • 1

    ombi la kuposa au kuchumbia.

Matamshi

uposi

/upɔsi/