Ufafanuzi wa upoteaji katika Kiswahili

upoteaji

nominoPlural upoteaji

  • 1

    hali ya kukosekana kwa kitu katika sehemu yake ya kawaida na kukosa kujulikana mahali kilipo.

Matamshi

upoteaji

/upɔtɛjaʄi/