Ufafanuzi wa upotoshi katika Kiswahili

upotoshi

nomino

  • 1

    hali ya kusababisha mtu kupotoka au kufuata njia isiyo sahihi.

Matamshi

upotoshi

/upɔtɔ∫i/