Ufafanuzi wa upwamu katika Kiswahili

upwamu

nominoPlural upwamu

  • 1

    ujanja uliochanganyika na ukosefu wa haya.

    ukaramshi

Asili

Kar

Matamshi

upwamu

/upwamu/