Ufafanuzi wa urekebishaji katika Kiswahili

urekebishaji

nominoPlural urekebishaji

  • 1

    namna ya kutengeneza kitu kilichokwenda kombo ili kikae sawa.

Matamshi

urekebishaji

/urɛkɛbi∫aʄi/