Ufafanuzi wa urukususu katika Kiswahili

urukususu

nominoPlural urukususu

  • 1

    dawa ya mitishamba ya kutibu kikohozi.

Asili

Kar

Matamshi

urukususu

/urukususu/