Ufafanuzi wa usoni katika Kiswahili

usoni

kielezi

  • 1

    -a mbele na karibu ya mtu au kitu; -a karibuni.

Matamshi

usoni

/usɔni/