Ufafanuzi wa usuli katika Kiswahili

usuli

nomino

  • 1

    asili

  • 2

    taarifa ambayo ni muhimu katika kuelewa tatizo au hali.

    kasidi

Matamshi

usuli

/usuli/