Ufafanuzi wa usultani katika Kiswahili

usultani

nominoPlural usultani

  • 1

    cheo au kazi ya sultani.

Asili

Kar

Matamshi

usultani

/usultani/