Ufafanuzi wa usumba katika Kiswahili

usumba

nominoPlural usumba

  • 1

    uzi wa kumbi la nazi uliotengenezwa tayari kufanywa kamba.

Matamshi

usumba

/usumba/