Ufafanuzi wa usumbufu katika Kiswahili

usumbufu

nominoPlural usumbufu

  • 1

    ghasia aionayo anayesumbuliwa.

    udhia, ukalifu, utaabishaji, adha, kero, taabu, shida, dhiki, mashaka

Matamshi

usumbufu

/usumbufu/