Ufafanuzi wa utaalamu katika Kiswahili

utaalamu

nominoPlural utaalamu

  • 1

    ujuzi na tajriba aliyonayo mtu katika kutenda jambo fulani kwa ufanisi.

    ufundi

Asili

Kar

Matamshi

utaalamu

/uta:lamu/