Ufafanuzi wa utaalifu katika Kiswahili

utaalifu

nominoPlural utaalifu

  • 1

    ukusanyaji wa habari au makala mbalimbali pamoja kuunda kitu k.v. kamusi au jarida.

Asili

Kar

Matamshi

utaalifu

/uta:lifu/