Ufafanuzi wa utabiri katika Kiswahili

utabiri

nominoPlural utabiri

  • 1

    kile kinachotabiriwa.

    aguzi

  • 2

    jinsi au namna ya kubashiri mambo yatakayotokea.

Asili

Kar

Matamshi

utabiri

/utabiri/