Ufafanuzi msingi wa utapishi katika Kiswahili

: utapishi1utapishi2

utapishi1

nominoPlural utapishi

  • 1

    namna ya kumtapisha mwari mkoleni, kumpa mwari mizungu ya mwisho na kummalizia mwari mambo ya ada za unyagoni.

Matamshi

utapishi

/utapi∫i/

Ufafanuzi msingi wa utapishi katika Kiswahili

: utapishi1utapishi2

utapishi2

nominoPlural utapishi

  • 1

    jinsi ya kutoa chochote tumboni kupitia kinywani.

Matamshi

utapishi

/utapi∫i/