Ufafanuzi wa utete katika Kiswahili

utete

nominoPlural matete

  • 1

    unyasi ambao hutumika kama mrija au chombo cha muziki kinachofanana na zumari.

Matamshi

utete

/utɛtɛ/