Ufafanuzi wa utulivu katika Kiswahili

utulivu

nominoPlural utulivu

  • 1

    hali ya kutoleta matata; hali ya kutulia.

    amani, uraufu, makini, utuvu

Matamshi

utulivu

/utulivu/