Ufafanuzi wa utusitusi katika Kiswahili

utusitusi

nominoPlural utusitusi

  • 1

    hali ya kizakiza au mawingumawingu; kinyume cha mapambazuko.

Matamshi

utusitusi

/utusitusi/