Ufafanuzi wa uvunaji katika Kiswahili

uvunaji

nominoPlural uvunaji

  • 1

    tendo au namna ya kuvuna.

Matamshi

uvunaji

/uvunaʄi/