Ufafanuzi wa uzalendo katika Kiswahili

uzalendo

nomino

  • 1

    hali ya mtu kuwa tayari kuifia nchi yake; hali ya kuwa mzalendo.

Matamshi

uzalendo

/uzalɛndɔ/