Ufafanuzi wa valisha katika Kiswahili

valisha

kitenzi elekezi

  • 1

    saidia mtu kuvaa nguo.

  • 2

    nunulia mtu nguo.

Matamshi

valisha

/valiāˆ«a/