Ufafanuzi wa vama katika Kiswahili

vama

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    ingia ndani kabisa au zama katika jambo au kitu k.v. tope.

Matamshi

vama

/vama/