Ufafanuzi wa varanda katika Kiswahili

varanda

nominoPlural varanda

  • 1

    sehemu ya nje iliyoshikana na nyumba na iliyo wazi ambapo watu hukaa ili kupumzika au kuzungumza.

Asili

Khi

Matamshi

varanda

/varanda/