Ufafanuzi wa vena katika Kiswahili

vena

nomino

  • 1

    mshipa unaorudisha damu kwenye moyo kutoka sehemu mbalimbali za mwili.

Asili

Kng

Matamshi

vena

/vɛna/