Ufafanuzi wa vibaya katika Kiswahili

vibaya

kielezi

  • 1

    bila ya kuwa katika hali nzuri; kinyume cha vizuri.

    ‘Leo nina homa, najisikia vibaya’
    ‘Umefanya vibaya kumtukana’
    majaka

Matamshi

vibaya

/vibaja/