Ufafanuzi wa vigaviga katika Kiswahili

vigaviga

kitenzi elekezi

  • 1

    tia mtu wasiwasi au hangaiko; kosa kumpa mtu hali ya utulivu.

Matamshi

vigaviga

/vigaviga/