Ufafanuzi wa vigumu katika Kiswahili

vigumu

kielezi

  • 1

    si rahisi; si -epesi kutenda.

    ‘Ni vigumu kwangu kutenda mambo mabaya kama hayo’

Matamshi

vigumu

/vigumu/