Ufafanuzi wa vimbizi katika Kiswahili

vimbizi

nomino

  • 1

    hali ya mtu kutoweza kupata pumzi kwa sababu ya chakula kutosagika tumboni au kula kwa wingi kwa wakati mmoja.

    ‘Amepata vimbizi’

Matamshi

vimbizi

/vimbizi/