Ufafanuzi wa viringe katika Kiswahili

viringe

nominoPlural viringe

  • 1

    umbo la duara.

  • 2

    aina ya embe dogo la mviringo lenye ganda gumu.

Matamshi

viringe

/viringɛ/