Ufafanuzi wa viringisha katika Kiswahili

viringisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitu kiende kwa kuzungukazunguka.

    bingirisha

Matamshi

viringisha

/viringi∫a/