Ufafanuzi msingi wa vokali katika Kiswahili

: vokali1vokali2

vokali1

nominoPlural vokali

 • 1

  herufi ya alfabeti ya lugha inayotumika kuwakilisha sauti k.v. ‘a’, ‘e’, ‘i’, ‘o’, ‘u’.

  irabu

Asili

Kla

Matamshi

vokali

/vɔkali/

Ufafanuzi msingi wa vokali katika Kiswahili

: vokali1vokali2

vokali2

nominoPlural vokali

Sarufi
 • 1

  Sarufi
  sauti anayotoa binadamu ambapo mdomo unakuwa umefunguka na ulimi haugusi sehemu ya juu ya mdomo, meno, n.k..

  irabu

Asili

Kla

Matamshi

vokali

/vɔkali/