Ufafanuzi wa voliboli katika Kiswahili

voliboli

nomino

  • 1

    mchezo wa mpira wa wavu.

Asili

Kng

Matamshi

voliboli

/vɔlibɔli/