Ufafanuzi wa vota katika Kiswahili

vota

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    pata ushindi k.v. katika mashindano ya ngoma, kesi au mpira.

    shinda

Matamshi

vota

/vɔta/