Ufafanuzi wa vuli katika Kiswahili

vuli

nominoPlural vuli

  • 1

    majira ya mvua ndogondogo ambayo huja wakati pepo za kaskazi zianzapo kuvuma.

    ‘Mvua za vuli’

Matamshi

vuli

/vuli/