Ufafanuzi wa vumaika katika Kiswahili

vumaika

kitenzi sielekezi

  • 1

    hangaika kwa ajili ya kutaka kupata kitu ambacho si rahisi kupatikana.

Matamshi

vumaika

/vumaIka/