Ufafanuzi wa vusha katika Kiswahili

vusha

kitenzi elekezi

  • 1

    chukua kitu kutoka upande mmoja wa k.v. mto, bahari au njia na kukipeleka upande wa pili.

  • 2

    chukua kitu kutoka nchi moja au sehemu moja na kukipeleka katika nchi nyingine au sehemu nyingine bila kibali.

Matamshi

vusha

/vu∫a/