Ufafanuzi wa vuu katika Kiswahili

vuu

kielezi

  • 1

    mara moja.

    ‘Mambo haya yametokea vuu’
    ghafla

Matamshi

vuu

/vu:/